WEMA AND THIS MAN WHATS GOING ON.... SEE THIS PHOTOS HERE!!
Nimekuwekea hapa U Heard ya leo January 20, story ya  leo ni kuhusu tetesi kuwa mwigizaji Wema Sepetu baada ya kuachana  na Diamond Platnumz kwa sasa ana uhusiano na mwanamitindo  Mtanzania anayefanya kazi zake Afrika Kusini,  Ally Daxx
Gossip Cop alimtafuta Wema na kumuuliza kuhusu story hiyo kama kuna  ukweli wowote, Wemaamekataa kuwa na uhusiano na mwanamitindo huyo.
 
 
 
 
 
0 comments: